London,England.
Kiungo wa Chelsea Cesc Fabregas ametaja kikosi cha nyota kumi na moja anaowahusudu zaidi.Katika kikosi hicho Fabregas ametaja nyota wanne kutoka katika klabu yake ya Chelsea.
Akiongea na Match of the Day magazine,Fabregas ambaye hakuwa katika kikosi cha Chelsea kilichotupwa nje ya michuano ya Capital One na Stoke City siku ya jumanne amewajumuisha pia nyota wa klabu yake ya zamani ya FC Barcelona pamoja na viungo Paul Pogba (Juventus) na Marco Veratti (Paris Saint-Germain).
Kikosi kamili kiko kama ifuatavyo..........
0 comments:
Post a Comment