London,England
Mabao matatu ya dakika za 49,68 na 73 yaliyofungwa na
Oliver Giroud,Laurent Koscielny na Joel Campbell yameifanya Arsenal iibuke na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Swansea City huko katika dimba la Brittania,Wales.
Matokeo mengine ya michezo ya leo ya EPL yako kama ifuatavyo....
Manchester City 2-1 Norwich City
(Nicholas Otamendi,Yaya Toure Cameron Jerome)
Watford 2-0 West Ham
(Odion Ighalo)
West Brom 2-3 Leicester
(Jamie Vardy,Riyad Mahrez,Solomon Rondon na Rickie Lambert)
Newcastle United 0-0 Stoke City
Crystal Palace 0-0 Manchester United
0 comments:
Post a Comment