Baraza la vyama vya soka barani Ulaya (Uefa) leo limetoa ratiba ya michezo ya hatua ya mtoano wa kuwania tiketi ya kufuzu michuano ijayo ya Ulaya (Euro 2016) huko Ufaransa.
Katika ratiba hiyo mchezo unaotarajiwa kuvuta hisia za wengi ni ule wa utakaowakutanisha mahasimu wa soka la nchi za Scandinavia Sweden na Denmark.
Ratiba kamili iko hapa.........
Sweden v Denmark
Jamhuri ya Ireland v Bosnia-
Herzegovina
Ukraine v Slovenia
Norway v Hungary
Michezo ya awali itachezwa tarehe 12/13/14 (Novemba 2015)
Michezo ya marudiano itachezwa tarehe 15/16/17 (Novemba 2015)
0 comments:
Post a Comment