Ligi ya mabingwa wa Ulaya (Champions League) itaendelea tena leo jumanne na kesho jumatano kwa vilabu mbalimbali kupambana ili kuhakikisha vinaibuka na pointi 3 muhimu.
Mchezo unaosubiriwa kwa hamu ni ule utakaopigwa katika dimba la Emirates kati ya Arsenal na Bayern Munich.
Mchezo huu umeonekana kuvuta hisia za wengi kutokana na Arsenal kushindwa kuambulia ushindi wowote katika michezo yake miwili ya awali ya kundi F na pia imekuwa ikipata wakati mgumu sana pindi ikutanapo na miamba hiyo ya Ujerumani.
Ratiba kamili iko kama ifuatavyo............
Jumanne Octoba 20
Group E
BATE Borisov v Barcelona
Bayer Leverkusen v Roma
Group F
Arsenal v Bayern Munich
Dinamo Zagreb v Olympiakos
Group G
Dynamo Kiev v Chelsea
Porto v Maccabi Tel Aviv
Group H
Valencia v Gent
Zenit St Petersburg v Lyon
Jumatano Octoba 21
Group A
Malmo v Shakhtar Donetsk
Paris Saint-Germain v Real Madrid
Group B
CSKA Moscow v Manchester United
Wolfsburg v PSV Eindhoven
0 comments:
Post a Comment