728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, October 20, 2015

    YAYA TOURE AFICHUA SIRI YA MESSI KUWAPIGA WENZIE MATOBO



    Unalikumbuka lile tobo alilopigwa James Milner na Lionel Messi katika mchezo wa ligi ya mabingwa msimu uliopita kati ya FC Barcelona na Manchester City katika dimba la Nou Camp??

    Msikie Yaya Toure akifunguka.

    Kiungo nyota wa Manchester City Yaya Toure amefunguka kwamba nyota wa FC Barcelona Lionel Messi ni mtu wa kumuogopa sana pindi uwapo karibu yake.Toure akijibu swali aliloulizwa na Rio Ferdinand katika moja vya vipindi vya luninga ya BSports juu ya nani ni zaidi kati ya Cristiano Ronaldo na Lionel Messi,ambapo alijibu Messi na alipoulizwa kuhusu tobo la James Milner msimu uliopita alisema 
                          
    "Messi nimecheza nae FC Barcelona,namuelewa vizuri.Huwa anaahidi kuwa leo nakwenda kumpiga tobo flani na kweli anafanya hiyo.Alipompiga toba Milner nilijua atakayefuata ni mimi hivyo nikawa namkimbie asije kuniaibisha kama Milner.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: YAYA TOURE AFICHUA SIRI YA MESSI KUWAPIGA WENZIE MATOBO Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top