728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, October 16, 2015

    TUZO:MARTIAL,POCHETTINO NDIYO BORA ZAIDI ENGLAND KWA MWEZI SEPTEMBA

    Manchester,England.

    Mshambuliaji kinda wa Manchester United Antony Martial pamoja na kocha wa Tottenham Mauricio Pochettino wameibuka kidedea baada ya kutwaa tuzo ya mchezaji bora na kocha bora wa mwezi Septemba.
    Anthony Martial scores the third goal for Manchester United
    Martil,19 ameibuka kidedea baada ya kuwabwaga Jamie Vardy (Leceister City) na Dimitri Payet (Westham).Martial ameifungia Manchester United magoli manne tangu atue akitokea AS Monaco siku ya mwisho ya dirisha la usajili barani Ulaya.

    Pochettino ameibuka kidedea baada ya kuiongoza Spurs kushinda michezo mitatu ya ligi kuu ndani ya mwezi Septemba ikiwemo ushindi wa goli 4-1 dhidi ya Manchester United.Sasa Spurs iko nafasi ya tatu
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: TUZO:MARTIAL,POCHETTINO NDIYO BORA ZAIDI ENGLAND KWA MWEZI SEPTEMBA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top