Madrid,Hispania.
VIKOSI
MISHAHARA
MAPATO YA MILANGONI
FAIDA KWA MWAKA
VIKOSI
Real Madrid ndiyo klabu yenye kikosi ghari zaidi Ulaya kwa sasa hii ni kwa mujibu wa Uefa's annual Benchmarking Report.Real Madrid ambao ni mabingwa mara 10 wa Ulaya wana kikosi chenye thamani ya €629 million,kutokana na hesabu za fedha za mwaka 2014.
Nafasi ya pili inashikiliwa na Manchester City yenye kikosi chenye thamani ya (€526m),Chelsea iko katika nafasi ya tatu ikiwa na kikosi chenye thamani ya (€498m).
Kutoka katika ripoti hiyo kuna jumla ya vilabu 15 ambavyo vina vikosi vyenye thamani ya zaidi ya €200m,ikiwemo Barcelona, Manchester United, Inter, Juventus na Arsenal.
Kutoka katika ripoti hiyo kuna jumla ya vilabu 15 ambavyo vina vikosi vyenye thamani ya zaidi ya €200m,ikiwemo Barcelona, Manchester United, Inter, Juventus na Arsenal.
Real Madrid pia imeongoza katika ulipaji wa mishahara kwani katika mwaka 2014 imelipa mishahara yenye thamani ya €270m ikifuatiwa na Manchester United (€263m),Barcelona (€248m),Manchester City (€245m) na Paris Saint-Germain (€235m).
Huku wastani wa mishahara kwa vilabu vya juu 20 Ulaya kwa mwaka 2014 ikiwa ni €172m,jumla ya mishahara kwa vilabu hivyo ni €3.5 billion.
Huku wastani wa mishahara kwa vilabu vya juu 20 Ulaya kwa mwaka 2014 ikiwa ni €172m,jumla ya mishahara kwa vilabu hivyo ni €3.5 billion.
FAIDA KWA MWAKA
0 comments:
Post a Comment