728x90 AdSpace

  • Latest News

    Monday, October 12, 2015

    NOMA SANA:LEWANDOWSKI AWEKA REKODI NYINGINE KUFUZU EURO 2016

    Warsal,Poland.
    Lewandowski equals Healy's Euro qualifier scoring record
    Goli alilofunga Robert Lewandowski jana jumapili wakati akiichezea timu yake ya taifa ya Poland dhidi ya Ireland ya Kaskazini katika mchezo wa mwisho wa kuwania kufuzu michuano ijayo ya Ulaya limemfanya nyota huyo wa Bayern Munich kufikisha magoli 13 ambayo ni mengi kuwahi kufungwa na mchezaji mmoja katika hatua ya kufuzu.Poland imefunzu kwa mara ya tatu mfululizo.

    Lewandowski anaungana na nyota wa zamani wa Fulham na Ireland David Healy ambaye naye alifunga idadi kama hiyo mwaka 2008.

    Lewandowski alianza safari hiyo ya magoli 13 kwa kufunga magoli matano wakati Poland ilipoizaba Gibraltar kwa magoli 7-0 Septemba 2014. Akafunga magoli matau dhidi ya Georgia,moja dhidi ya Ujerumani na mawili dhidi ya Scotland.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: NOMA SANA:LEWANDOWSKI AWEKA REKODI NYINGINE KUFUZU EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top