Kama ilivyo kawaida yetu kukuleletea kikosi cha wachezaji 11 waliofanya vizuri katika ligi ya EPL,kifuatacho ni kikosi bora cha wiki cha raundi ya 9.
GK: David de Gea (Manchester United)
DEF: Virgil van Dijk (Southampton), Chris Smalling (Manchester United), Hector Bellerin (Arsenal)
MID: Georginio Wijnaldum (Newcastle United, captain), Raheem Sterling (Manchester City), Ander Herrera (Manchester United), Moussa Sissoko (Newcastle United), Mesut Ozil (Arsenal)
FWD: Wilfried Bony (Manchester City), Jamie Vardy (Leicester)
0 comments:
Post a Comment