Michezo ya hatua ya makundi ya kinyang'anyiro cha michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya iliendelea tena jana usiku kwa miamba ya soka barani humo kuvaana ili kuvuna pointi tatu muhimu.
Yafuatayo ni matokeo/wafungaji wa michezo hiyo
Real Madrid 0-0 Paris Saint Germain
CSKA Moscow 1-1 Manchester United (Seydou Doumbia,Antony Martial)
Manchester City 2-1 Sevilla ( Adil Rami,Kevin De Bruyne...Yevhen Konoplyanka)
Malmo 1-0 Shakhtar Donetsk (Markus Rosenberg)
Wolfsburg 2-0 PSV Eindhoven ( Bas Dost,Max Kruse)
Atletico Madrid 4-0 Astana (Saul Niguez,Jackson Martinez,Oliver Torres,Denis Dedechko)
Galatasaray 2-1 Benfica.
Benfica (Selcuk Inan,Lukas Podolski,Nicolas Gaitan)
Juventus 0-0 Borussia Monchengladbach.
Michezo ya marudiano kwa vilabu hivi itakuwa jumanne Novemba 3
0 comments:
Post a Comment