728x90 AdSpace

Tuesday, June 28, 2016

PSG YAPATA KOCHA MPYA

Paris,Ufaransa.

Paris Saint-Germain imemtangaza Muhispania,Unai Emery kuwa Kocha wake mpya akichukua nafasi ya Mfaransa Laurent Blanc aliyesitishiwa kandarasi yake mapema wiki iliyopita.


Emery,44,amesaini kandarasi ya miaka miwili ya kuwatumikia matajiri hao wa jiji la Paris baada ya kuachana na Sevilla mwishoni mwa msimu uliopita.

Akiwa na Sevilla,Emery aliiwezesha klabu hiyo ya Ramon Sanchez Pizjuan kushinda mataji matatu ya Europa Ligi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: PSG YAPATA KOCHA MPYA Rating: 5 Reviewed By: Unknown