Dar es Salaam,Tanzania.
MCHEZO kati ya Yanga Sn na TP Mazembe ya DRC Jumanne ijayo utachezwa kuanzia Saa 10:30 jioni
Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Hayo yamesemwa na Mkuw wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Yanga,
Jerry Muroalipozungumza na Waandishi wa Habari leo mjini Dar es Salaam.
Muro amesema kwamba mpango wa kuipeleka mechi hiyo usiku
umeshindikanakutokana na Jenereta la Uwanja wa Taifa kuwa bovu kwa sasa.
Yanga itawakaribisha Mazembe Jumanne ijayo Uwanja wa Taifa, Dar es
Salaam huo ukiwamchezoo wa pili wa Kundi A.
0 comments:
Post a Comment