Dar es Salaam,Tanzania.
MICHUANO ya Kombe la Shirikisho Afrika na ile ya Klabu bingwa Afrika inatarajiwa kuendelea tena leo Jumanne Juni 28 kwa timu kutoka kundi A na B kushuka dimbani kuwania alama tatu muhimu ili kujitengenezea mazingira mazuri ya kufuzu hatua ya NNE bora.
RATIBA IKO KAMA IFUATAVYO
SHIRIKISHO
28 June 2016
Young Africans v TP Mazembe - Uwanja wa Taifa,Dar es Salaam
Al Ahly v Kawkab Marrakech Tripoli - Uwanja: TBC
29 June 2016
Medeama v Mouloudia Bejaia - Uwanja: Sekondi-Takoradi Stadium
Etoile Sahel v FUS Rabat - Uwanja: Stade Olympique de Sousse
LIGI YA MABINGWA AFRIKA
28 June 2016
Al Ahly v ASEC Mimosas - Uwanja: Borg el arab
29 June 2016
Mamelodi Sundowns v Enyimba - Uwanja: Lucas Moripe Stadium
Wydad Casablanca v Zesco United - Uwanja: Complexe Prince Moulay Abdellah
Zamalek v Entente Setif - Uwanja: Petro Sport Stadium
0 comments:
Post a Comment