Salalah,Oman.
DEAL DONE:Ni baada ya kumaliza vipimo vya afya nikiwa na meneja wangu na yafuatayo katika matukio ya picha nyingine ni kusaini mkataba wangu na Klabu yangu mpya ya DHOFAR CLUB ya nchini Oman.
Napenda kutoa shukran zangu za dhati kwa mashabiki wangu na wapenzi wa soka kwa kuwa pamoja na mimi katika vipindi vyote nilivyopitia kwa ushauri wenu/kunisapoti naomba muendelee na moyo huo.Team # haina mbwembwe!!
0 comments:
Post a Comment