Dar es Salaam,Tanzania.
KIKOSI cha TP Mazambe Kimetua nchini Usiku huu kikitokea Jamhuri ya
Kidekorasia ya Kongo kikiwa na Nyota wake 18 tayari kwa mpambano wake wa Kundi A wa michuano ya Kombe la shirikisho dhidi ya Mabingwa wa Tanzania, Yanga SC utakachezwa Jumanne Juni 28,2016 saa 10;00 jioni katika Uwanja wa Taifa,Dar es Salaam.
KIKOSI KAMILI KILICHOTUA NI
Wachezaji: Robert Kidiaba, Sylvain Gbohou, Issama Mpeko,Joel Kimwaki, ThomasUlimwengu, Christian Koume,Jean Kasusula, Salif Coullbaly, Merveille Bope,Jose Badibake, Kissi Boateng, Roger Assale,Rainford Kalaba, Deo Kanda, Adama Traore,Chriastian Luyindama,Nathan Sinkala na Joas Sakuwaha.
Benchi la Ufundi:Theobald Binamungu,Mohamed Kamwanya,Dony Kabongo, Frederic Kitengie na Andre Ntime.
Madaktari ni Hurbert Velud,
Pamphile Mihayo,Mhudumu Richard Mubemb na Maofisa wa Idara ya
Habari na Mawasiliano,Heritier Yinduka, Arther Kikuni na Meshack Kayembe.
0 comments:
Post a Comment