Cairo,Misri.
DROO ya Upangaji wa Makundi kwa ajili ya Kufuzu Fainali za Kombe la Dunia la mwaka 2018 nchini Urusi kwa timu za Afrika imefanyika Leo jijini Cairo,nchini Misri.
Katika droo hiyo timu 20 za mataifa mbalimbali zimegawanywa katika Makundi Matano ya timu nne nne huku Timu moja itakayokuwa na alama nyingi toka kila Kundi ndiyo itakazofuzu Kombe la Dunia.
Wadadisi wa Masuala ya Kimichezo wanaliona Kundi B kuwa ndiyo litakalokuwa gumu zaidi kwani limejumuisha Timu za Zambia,Algeria, Cameroon na Nigeria.
MAKUNDI YAKO KAMA IFUATAVYO
Kundi A
Tunisia
Libya
DR Congo
Guinea
Kundi B
Zambia
Algeria
Nigeria
Cameroon
Kundi C
Gabon
Mali
Ivory Coast
Morocco
Kundi D
Senegal
South Africa
Burkina Faso
Cape Verde
Kundi E
Ghana
Egypt
Congo
Uganda
0 comments:
Post a Comment