London,England.
Chelsea imepata pigo baada ya mlinda mlango wake namba moja Thibaut Courtois kuumia goti wakati akiwa mazoezini akijiandaa na mchezo wa jumamosi wa ligi kuu dhidi ya Everton.
Kufuatia jeraha hilo Courtois,23 atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi miwili huku pia akitarajiwa kukosa michezo mitatu ya ligi ya mabingwa Ulaya hatua ya makundi.Hivyo nafasi ya Courtois itazibwa na mlinda mlango wa akiba Asmir Begovic.
0 comments:
Post a Comment