Baada ya dirisha la usajili kufunga England siku kadhaa zilizopita hii hapa orodha mpya ya wachezaji wanaopata mshahara mkubwa zaidi ligi kuu England.
Orodha kamili iko kama ifuatavyo......
1. Wayne Rooney (Man Utd) £260,000k
2. Sergio Aguero (Man City) £240k
Yaya Toure (Man City) £240k
4. Eden Hazard (Chelsea) £220k
5. David Silva (Man City) £200k
6. Mesut Ozil (Arsenal) £190k
7. Raheem Sterling (Man City) £180k
8. Cesc Fabregas (Chelsea) £170k
Kevin De Bruyne (Man City) £170k
10. John Terry (Chelsea) £160k
Mishahara hii ni bila kodi
0 comments:
Post a Comment