Faridi Miraji , Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa Baraza la Wazee wa Yanga, Ibrahimu Akilimali, ametangaza kuwania nafasi ya uenyekiti wa klabu hiyo iliyoachwa wazi hivi karibuni na aliyekuwa mwenyekiti wa timu hiyo, Yusuf Manji'
''Akilimali alisema anaamini amefikia uamuzi huo ili aweze kuleta mabadiliko makubwa ya ndani ya klabu hiyo kuanzia pale Manji alipoishia''
“Kwa hiyo, katika uchaguzi ujao ambao utafanyika ili kuziba nafasi iliyoachwa na Manji, nitagombea nafasi hiyo kwani uwezo wa kuipa Yanga mafanikio ninao,” alisema Akilimali'
0 comments:
Post a Comment