728x90 AdSpace

  • Latest News

    Monday, June 19, 2017

    Big Bon yamjaza Tshabalala jiwe tano na mafuta full tank kwenye gari lake


    Dar Es Salaam,Tanzania.

    BEKI wa kushoto wa Simba SC,Mohamed Hussein Tshabalala (Kulia) akikabidhiwa kitita cha shilingi laki tano,500,000 na Meneja wa kituo cha mafuta cha Big Bon cha jijini Dar Es Salaam.

    Mbali ya kupewa kitita hicho cha pesa pia Tshabalala alipewa ofa ya kujaziwa mafuta full tank kwenye gari lake la kutembelea.Zawadi hizo zimekuja baada ya hivi karibuni beki huyo kutangazwa mchezaji bora wa mwaka wa Simba SC.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Big Bon yamjaza Tshabalala jiwe tano na mafuta full tank kwenye gari lake Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top