Dar Es Salaam,Tanzania
SHIRIKISHO la soka nchini Tanzania (TFF) leo limetoa orodha kamili ya wagombea wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi katika shirikisho hilo.
Wagombea hao ni wale waliojitokeza jana Ijumaa na leo Jumamosi katika ofisi za TTF, Karume jijini Dar es Salaam.
Ifuatayo ni orodha kamili ya wagombea pamoja na nafasi wanazogombea
URAIS
Jamal Malinzi
Imani Madega
Wallace Karia
Fredrick Masolwa
MAKAMU RAIS
Mulamu Nghambi
Michael Wambura
Geofrey Nyange
WAJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI
Soloum Chama
Ephraim Majinge
Elias Mwanjala
Saleh Alawi
Kaliro Samson
Vedastus Lufano
Kenneth Pesambili
Mbasha Matutu
Samwel Daniel
Dunstan Mkundi
Athuman Kambi
Shaffi Dauda
Golden Sanga
Charles Mwakambaya
Benista Rugola.
Thabit Kandoro
Goodluck moshi
James Mhagama
Husen Mwamba
Sarah Chao
Isaa Bukuku
Stewat Masima
Emmanuel Ashery
Abdul Sauko
Musa Sima
Stanslaus Nyongo
Ayoub Nyenzi
John Kadutu
Baraka Mazengo
Khalid Mohamed
Mohamed Aden
Cyprian Kuyava
Saleh Abdul
0 comments:
Post a Comment