Duesseldorf,Ujerumani.
Tyson Fury amefanikiwa kutwaa ubingwa wa WBA, IBF na WBO baada ya kumtwanga Wladimir Klitschko katika mpambano wa raundi 12 uliopigwa leo huko Duesseldorf,Ujerumani.
Majaji wawili walimpa Fury,27 ushindi wa ponti 115-112 na 116-111 na kuwa bondiwa wa kwanza kumchapa Klitschko,39 tangu mwaka 2004 alipochapwa na Lamon Brewster.
0 comments:
Post a Comment