London,England.
Ligi ya mabingwa barani Ulaya itaendelea tena leo jumanne na kesho jumatano kwa vigogo mbalimbali kushuka dimbani kusaka pointi tatu muhimu.
Kutoka kundi F,Arsenal itakuwa na kibarua kigumu leo pale itakapowaalika Dynamo Zagreb katika dimba lake la Emirates huku Bayern Munich ikiwa nyumbani Allianz Arena itakuwa mwenyeji wa Olympiacos ya Ugiriki.
Ratiba kamili ya michuano hiyo itakavyopigwa saa 10:45 iko kama ifuatavyo..
Jumanne,Novemba 24/2015
BATE Bor v Bayer Levkn
Barcelona v Roma
Arsenal v Dinamo Zagreb
Bayern Mun v Olympiakos
FC Porto v Dynamo Kiev
M'bi Tel-Aviv v Chelsea
Zenit St P v Valencia
Lyon v KAA Gent
Jumatano Novemba,25/2015
Malmö FF v Paris St G
Shakt Donsk v Real Madrid
CSKA v VfL Wolfsburg
Man Utd v PSV Eindhoven
FC Astana v Benfica
Atl Madrid v Galatasaray
B M'gladbach v Sevilla
Juventus v Man City
0 comments:
Post a Comment