Manchester, England.
Mkali wa filamu za mapigano (Action) Jean Claude Van Damme jana alhamis alitembelea mazoezi ya Manchester City inayojiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Liverpool siku ya jumamosi.
Van Damme,55 ambaye yuko Manchester kwa ajili ya kutoa neno kuhusu tasnia ya filamu na maisha yake ya uigizaji alifika klabuni hapo kuitikia mwaliko wa Wabelgiji wenzake Vincent Kompany,Kevin De Bruyne.
0 comments:
Post a Comment