728x90 AdSpace

Saturday, November 28, 2015

CHALENJI CUP:KILI STARS DIMBANI LEO YAWAVAA WENYEJI ETHIOPIA,BURUNDI USO KWA USO NA UGANDA

Addis Ababa,Ethiopia.

HATUA ya makundi ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge inahitimishwa leo kwa michezo miwili.

Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ itamenyana na wenyeji, Ethiopia mjini Awassa katika mchezo wa Kundi A na Uganda itapambana na Burundi katika mchezo wa Kundi B.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: CHALENJI CUP:KILI STARS DIMBANI LEO YAWAVAA WENYEJI ETHIOPIA,BURUNDI USO KWA USO NA UGANDA Rating: 5 Reviewed By: Unknown