728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, November 12, 2015

    HUYU NDIYE MCHEZAJI MZEE ZAIDI,ANA MIAKA 48 LAKINI KIWANJANI BALAA

    Tokyo,Japan.

    Kazuyoshi Miura huyu ndiye mchezaji mzee zaidi nchini Japan na pengine duniani katika mchezo za soka.Licha ya umri wa miaka 48 alionao Miura kwa sasa lakini bado kikongwe huyu haonekana kukaribia kuachana na mchezo huu wenye mashabiki lukuki.

    Kutoka Japan habari zinadai Miura yuko karibu kuongeza makataba wa miezi 12 wa kuendelea kuichezea Yokohama FC iliyo ligi daraja la pili Japan.

    Miura aliyewahi kuichezea timu ya taifa hilo na kuifungia mabao 55 katika michezo 89 pia enzi za ujana wake aliwahi kuichezea kwa mafanikio klabu ya Santos ya Brazil iliyowahi kuwa na wakali kama Neymar Jr.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: HUYU NDIYE MCHEZAJI MZEE ZAIDI,ANA MIAKA 48 LAKINI KIWANJANI BALAA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top