London,England.
Ligi kuu England itaendelea tena wikendi hii kwa vilabu mbalimbali kushuka dimbani kusaka pointi tatu muhimu.
Siku ya jumamosi itashuhudiwa vilabu vya Manchester United na Manchester City vikivaana na Leceister City na Southampton huku siku ya jumapili Arsenal itakuwa mgeni wa Norwich City huku Tottenham ikiwa mwenyeji wa Chelsea.
Ifuatayo ni ratiba pamoja na utabiri kutoka vyanzo mbalimbali vya kimataifa.
Jumamosi Novemba 28/2015
Aston Villa v Watford
(Utabiri 1-2)
Bournemouth v Everton
(Utabiri 1-3)
Crystal Palace v Newcastle
(Utabiri 1-0)
Man City v Southampton
(Utabiri 2-1)
Sunderland v Stoke
(Utabiri 0-2)
Leicester v Man Utd
(Utabiri 1-2)
Jumapili Novemba 29/2015
Tottenham v Chelsea
(Utabiri 1-1)
West Ham v West Brom
(Utabiri 2-1)
Liverpool v Swansea
(Utabiri 2-0)
Norwich v Arsenal
(Utabiri 1-3)
0 comments:
Post a Comment