Liverpool,England.
Liverpool na Tottenham zimetinga hatu ya 32 ya michuano midogo ya Ulaya (Europa Ligi) baada ya usiku wa kuamkia leo kupata ushindi nyumbani na ugenini.
Liverpool iliyokuwa katika dimba lake la nyumbani la Anfield imeibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Bordeaux ya Ufaransa.
Magoli yaliyoipa ushindi Liverpool yamefungwa na James Milner na Christian Benteke huku Bordeaux wakipata goli lao kupitia kwa Henry Saviet.
Katika mchezo mwingine Tottenham imeilaza Qarabag kwa goli 1-0 katika mchezo wa kundi J uliopigwa huko Azbeijan.Goli la Tottenham limefungwa na Harry Kane.
Wakati huohuo Celtic ikiwa nyumbani imetupwa nje ya michuano baada ya kukubali kichapo cha magoli 2-1 toka Ajax.
Matokeo yote ya Europa Ligi yako kama ifuatavyo......
Kundi A
Celtic 1-2 Ajax
Molde 0-2 Fenerbahçe
Kundi B
Rubin Kazan 2-0 FC Sion
Liverpool 2-1 Bordeaux
Kundi C
FK Krasnodar 1-0 Bor Dortmd
PAOK Salonika 0-0 FK Qabala
Kundi D
Club Brugge 0-1 Napoli
Legia Warsaw 1-0 FC Midtjylland
Kundi E
Dinamo Minsk 1-0 Viktoria Plzen
Villarreal 1-0 Rapid Vienna
Kundi F
Marseille 2-1 FC Groningen
Sporting Braga 2-1 Slovan Liberec
Kundi G
Lazio 3-1 Dnipro D'trovsk
Rosenborg 1-1 St Etienne
Kundi H
Besiktas 2-0 S'kbeu Korce
L'motiv Moscow 2-4 Sporting
Kundi I
Belenenses 0-0 Lech Poznan
FC Basel 2-2 Fiorentina
Kundi J
FK Qarabag 0-1 Tottenham
Monaco 0-2 Anderlecht
Kundi K
Schalke 1-0 Apoel Nic
Sparta Prague 1-0 Asteras Tripolis
Kundi L
AZ Alkmaar 1-2 P'zan Belgrade
FC Augsburg 2-3 Ath Bilbao
0 comments:
Post a Comment