728x90 AdSpace

  • Latest News

    Monday, November 23, 2015

    RAMSEY APONA TAYARI KUIVAA ZAGREB SIKU YA JUMANNE

    London,England.


    Arsenal imepata afueni baada ya kiungo wake Aaron Ramsey kupona majeraha ya misuli yaliyomuweka nje ya dimba kwa mwezi mmoja.
    Ramsey (centre) had been ruled out of the game by Wenger, who then later said he was available
    Ramsey aliyekuwa nje ya uwanja tangu Octoba 20 baada ya kuumia misuli katika mchezo wa kundi F wa ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya Bayern Munich amejumuika na kufanya mazoezi na kikosi cha kwanza leo asubuhi kwa ajili ya kujiwinda na mchezo wa jesho jumanne dhidi ya Dynamo Zagreb ya Croatia.

    Kupona kwa Ramsey kumekuwa ni faraja kwa Arsenal ambayo siku ya jumamosi iliwapoteza kutokana na majeruhi viungo wake wawili Francis Coquelin na Mikel Arteta katika mchezo ambao miamba hiyo ya London ilifungwa bao 2-1 na West Bromwich Albion.

    Msimamo wa kundi F uko hivi 


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: RAMSEY APONA TAYARI KUIVAA ZAGREB SIKU YA JUMANNE Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top