London,England.
David Beckham amekiongoza kikosi cha Great Britain na Ireland kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya kombaini ya dunia katika mchezo wa hisani wa kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia watoto waishio katika mazingira magumu kupitia shirika la UNICEF.
Mchezo huo ulioshuhudiwa na watazamaji 75,381 katika dimba la Wembley,London timu ya Bechkam ilipata magoli yake kupitia na Paul Scholes na Michael Owen aliyefunga mara mbili huku goli la kombaini ya dunia iliyokuwa na wakali kama Louis Figo na Ronaldinho likifungwa na Dwight Yorke.
VIKOSI
Alex Ferguson
GB & Ireland XI: David James; Jamie Carragher, John Terry, Sol Campbell,
Phil Neville; David Beckham, Nicky Butt,Darren Fletcher, Ryan Giggs, Paul Scholes,Michael Owen.
Akiba David Seaman, Ashley Cole,Trevor Sinclair, Gary McAllister, Alan Smith,Michael Owen.
Carlo Ancelotti
Kombaini ya dunia XI: Edwin van der Sar;Cafu, Fernando Couto, Silvestre; Luis Figo, Clarence Seedorf, Robert Pires,Park Ji-sung, Ronaldinho; Patrick Kluivert, Ole Gunnar Solskjaer.
Akiba: Raimond van der Gouw, Fernando Hierro, Landon Donavan, Dwight Yorke.
0 comments:
Post a Comment