Dusseldorf,Ujerumani.
Wapenzi wa masumbwi jumamosi ya wiki hii watapata fursa nzuri ya kutazama na kujua nani ni mkali katika mchezo wa ngumi (boxing) pale mabondia wawili matata duniani Tyson Furry na Wladimir Klitschko watakapovaana katika pambano la ngumi la uzito wa juu duniani huko Dusseldorf,Ujerumani.
Furry katikati
Mabondia hao wanatarajia kupimwa uzito siku ya ijumaa chini ya ulinzi mkali ambapo mashabiki hawataruhusiwa kutokana na tishio la ugaidi ambalo lilmeendelea kutishia amani siku za hivi karibuni hasa kufuatia shambulio la wiki mbili zilizopita huko Ufaransa.
Wladimir na Furry
0 comments:
Post a Comment