728x90 AdSpace

Friday, November 20, 2015

MAN UNITED KUWAKOSA NYOTA WAKE SITA MCHEZO DHIDI YA WATFORD JUMAMOSI,DEPAY,WILSON KUONGOZA MASHAMBULIZI

Manchester, England.

Manchester United itawakosa nyota wake sita akiwemo nahodha wake Wayne Rooney katika kikosi kitakachosafiri kwenda kuwavaa Watford kesho jumamosi katika muendelezo wa michezo ya ligi kuu.

Nyota wengine watakaoungana na Rooney kuukosa mchezo huo ni Antony Martial,Marouane Fellini,Luke Shaw,Antonio Valencia na Michael Carrick

Taarifa za ndani toka Manchester United zinasema kocha Louis Van Gaal huenda akawatumia Memphis Depay na James Wilson kuongoza safu ya ushambuliaji licha ya kukiri kuwa Wilson hayuko fiti kucheza dakika 90 kutokana na kuwa benchi kwa kipindi kirefu.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: MAN UNITED KUWAKOSA NYOTA WAKE SITA MCHEZO DHIDI YA WATFORD JUMAMOSI,DEPAY,WILSON KUONGOZA MASHAMBULIZI Rating: 5 Reviewed By: Unknown