New York,Marekani.
Ligendi na nyota wa zamani wa Real Madrid Raul Gonzalez Blanco jana jumapili aliachana rasmi na soka huku akiwezesha klabu yake ya New York Cosmos kutwaa taji la saba la NASL (North American Soccer League).
Raul amabaye alijiunga na Cosmos mwaka 2014 ikiwa ni miaka minne tangu alipoihama Real Madrid mwaka 2010 akitokea Al Sadd ya Qatar aliiongoza Cosmos kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi Fury katika mchezo mkali uliopigwa katika dimba la Shuart,New York.Taji hilo ni la 22 kwa Raul katika miaka 21 ya soka.
Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa Shuart
0 comments:
Post a Comment