Lagos,Nigeria.
Nahodha wa Nigeria Ahmed Musa ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka katika sherehe zilizofanyika jana jumamosi katika hoteli ya Eko,Lagos.
Musa anayechezea CSKA Moscow ya Urusi ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwazidi Odion Ighalo wa Watford na Tunde Adeniji wa Sunshine Stars.
Kwa upande wa wanawake tuzo hiyo imekwenda kwa Ngozi Okobi aliyeibuka kidedea kwa kuwashinda Desire Oparanozie na Asisat Oshoala
0 comments:
Post a Comment