Addis Ababa,Ethiopia.
Michezo ya robo fainali ya michuano ya kombe
la Cecafa Chalenji Cup itaanza kutimua vumbi
leo huko Adis Ababa Ethiopia.
Timu ya taifa ya Uganda the cranes itakuwa dimbani kukabiliana na wanyasa Malawi ,huku timu ya Tanzania bara maarufu kama
The Kilimanjaro stars na Wenyeji Ethiopia.
Robo fainali ya pili itapigwa hapo jumanne Desemba mosi kwa Sudan kusini kukipiga na
Sudan,Rwanda wakipepetana na Kenya.
Michezo ya nusu fainali itafanyika siku ya Alhamisi huku mchezo wa fainali na ule wa kumsaka mshindi wa tatu ikifanyika siku ya jumamaosi Desemba 5.
0 comments:
Post a Comment