Kigali,Rwanda.
Makundi ya michuano ya wachezaji wa ndani (CHAN 2016) yamepangwa leo jijini Kigali katika hoteli ya Serena kwa wenyeji Rwanda kupangwa kundi A pamoja na mataifa ya Morocco na Ivory Coast.
Michuano hiyo ambayo inafanyika kwa mara ya nne imepangwa kuanza kutimua vumbi lake nchini Rwanda kuanzia Januari 16 mpaka Februari 7 katika viwanja vya Amahoro, Butare, Nyamirambo na Gisenyi.
Makundi ya michuano hiyo ni kama ifuatavyo......
Group A: Rwanda. Gabon, Ivory Coast,Morocco
Group B: DR Congo, Ethiopia, Cameroun,Ethiopia
Group C: Tunisia, Nigeria,Niger, Guinea
Group D: Zimbabwe, Mali,Uganda, Zambia
0 comments:
Post a Comment