728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, November 26, 2015

    HAYA NDIYO MAJUKUMU MANNE ANAYOYATAMANI DROGBA SIKU AKIRUDI CHELSEA

    London,England.

    Gwiji wa zamani wa Chelsea Muivory Coast Didier Drogba Amefichua siri kuwa baada ya kuachana na soka atarejea tena klabuni hapo lakini safari hii akiwa mtu tofauti kabisa.

    Drogba,37 ambaye kwa sasa anakipiga Montreal ya Canada ameiambia Reuters kuwa tayari ana makubaliano na uongozi wa juu wa Chelsea kuwa baada ya kustaafu soka atarejea tena klabuni hapo na kupatiwa jukumu jipya.

    Amesema "Nina baraka zote za kurudi Chelsea lakini safari hii sitarudi kama mchezaji bali kama mtu mwenye jukumu tofauti kabisa.Chelsea imenifanyia mengi sana na mimi nahitaji kufanya kitu kwa ajili yake"

    Nadhani naweza kurudi kama kocha,mkurugenzi wa michezo,kocha wa kikosi cha vijana ama mshauri wa washambuliaji".



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: HAYA NDIYO MAJUKUMU MANNE ANAYOYATAMANI DROGBA SIKU AKIRUDI CHELSEA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top