728x90 AdSpace

  • Latest News

    Monday, November 30, 2015

    HII NDIYO PESA ILIYOTOLEWA NA VILABU VYA EPL KUWALIPA MAWAKALA WA WACHEZAJI BAADA YA KUWEKA MAMBO SAWA

    London,England.

    LIGI kuu ya England imeendelea kuonyesha kuwa ni ligi tajiri zaidi duniani baada ya ripoti iliyotolewa leo kuonyesha kuwa vilabu vya nchi hiyo vimetumia paundi milioni 130 kuwalipa mawakala wa wachezaji katika kipindi cha miezi 12 iliyopita ikiwa ni ongezeko la paundi milioni 15 ya kiasi kilichotumiwa msimu uliopita.

    Ripoti hiyo kutoka vilabu vyote 20 vya ligi kuu imeonyesha kuwa Liverpool ndiyo kinara wa kuwalipa (kuwapoza) mawakala hasa inapofika kipindi cha usajili barani Ulaya baada ya kuripotiwa kutumia paundi 14 huku Watford ikiwa ndiyo klabu iliyotumia pesa kidogo zaidi.Imetumia chini ya paundi milioni 2 tu msimu uliopita.

    Malipo hayo kwa mawakala yametokana na kuuza wachezaji toka klabu moja kwenda nyingine ama wachezaji kuongeza/kurefusha mikataba katika vilabu vyao.

    Orodha kamili iko kama ifuatavyo.....

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: HII NDIYO PESA ILIYOTOLEWA NA VILABU VYA EPL KUWALIPA MAWAKALA WA WACHEZAJI BAADA YA KUWEKA MAMBO SAWA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top