728x90 AdSpace

Thursday, March 30, 2017

Nyasi bandia za Simba SC hatarini kupigwa mnada


Faridi Miraji,Dar Es Salaam.                                            

Kampuni ya udalali ya Majembe Auction Mart inataka kupiga leo itapiga mnada nyasi bandia za SIMBA SPORTS CLUB na magoli yake, sababu kubwa ni uongozi wa klabu hiyo kushindwa kuzilipia kodi nyasi hizo. 



                                   

Nyasi hizo zimekaa tu kwa kinachodaiwa uongozi kusitisha ujenzi wa uwanja wa Simba SC hadi hapo watakapopata ubingwa kisha uongozi ndio utarudi kwenye ujenzi wa uwanja huo ambao ulikuwa kwenye muelekeo mzuri wakukamilika

                                 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Nyasi bandia za Simba SC hatarini kupigwa mnada Rating: 5 Reviewed By: Unknown