Madeira,Ureno.
MAPEMA juzi Jumatano sanamu la staa wa Ureno,Cristiano Ronaldo lilizinduliwa katika hafla ya kuubadili jina uwanja wa ndege wa Madeira na kuupa jina la mshindi huyo wa msimu uliopita wa tuzo ya mchezaji bora wa dunia.
Sanamu hilo ambalo limetengenezwa na msanii Emanuel Santos limeonekana kugonga vichwa vingi vya habari baada ya kudaiwa kutofanana vyema na muhusika ambaye ni Cristiano Ronaldo.
Yafuatayo ni masanamu nane (8) ambayo yanadaiwa kutofanana vyema na wahusika
Luis Suarez
David Beckham
Michael Jackson
Sven-Goran Eriksson
Ted Bates |
Alexis Sanchez
Samweli Eto'o
Alan Shearer
0 comments:
Post a Comment