London,England.
London,England.
LIGI kuu ya soka ya nchini
Engand maarufu kama EPL inatarajiwa kuendelea tena kesho Jumamosi Aprili 1 na kesho kutwa Jumapili Aprili 2,2017 kwa michezo kumi (10) kuchezwa katika viwanja
mbalimbali.
Ifuatayo ni ratiba
kamili ya ligi hiyo kwa wikendi hii.
Jumamosi Aprili 1,2017
8:30 Liverpool v. Everton
11:00 Burnley v. Tottenham
11:00 Chelsea v. Crystal
Palace
11:00 Hull v. West
Ham
11:00 Leicester v. Stoke
11:00 Man Utd v. West
Brom
11:00 Watford v. Sunderland
1:30 Southampton v. Bournemouth
Jumapili Aprili 2,2017
10:30 Swansea City
12:00 Arsenal v Manchester
City
0 comments:
Post a Comment