Paul Manjale.
KIUNGO na nahodha wa zamani wa Ujerumani,Bastian Schweinsteiger (Pichani) akilakiwa na lundo la mashabiki pamoja na waandishi wa habari baada ya kuwasili nchini Marekani kukamilisha usajili wa kujiunga na Chicago Fire inayoshiriki ligi kuu ya nchi hiyo Major League Soccer (MLS).
Schweinsteiger,32,amejiunga na Chicago Fire baada ya Manchester United kutomuhitaji tena kwenye kikosi chake.Kabla ya kutua Marekani Schweinsteiger alikuwa akifanya mazoezi na Real Mallorca ya Hispania.
BOFYA HAPA KWA HABARI ZAIDIhttp://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-4357288/Bastian-Schweinsteiger-heads-Chicago-Fire-Ivanovic.html
0 comments:
Post a Comment