Miami,Marekani.
MSWISI Roger Federer amefanikiwa
kutinga nusu fainali ya michuano ya wazi ya tenesi ya Miami (Miami Open) baada
ya kutoka nyuma na kupata ushindi wa seti tatu (3) kwa moja (1) dhidi ya Tomas
Berdych wa Croatia jana Alhamisi usiku huko Miami,nchini Marekani.
Kabla ya kupata ushindi
huo mubashara tayari Federer alikuwa amechapwa raundi ya kwanza kwa seti 6-4 kabla
ya kupindua matokeo na kupata ushindi wa seti tatu za 6-2, 3-6, 7-6 .
Nick Kyrgios
Sasa Federer atacheza nusu fainali dhidi ya Mu-australia Nick Kyrgios ambaye katika robo fainali nyingine alimchapa Alexander Zverev kwa seti tatu za 6-4,6-7 na 6-3.
Nick Kyrgios
Sasa Federer atacheza nusu fainali dhidi ya Mu-australia Nick Kyrgios ambaye katika robo fainali nyingine alimchapa Alexander Zverev kwa seti tatu za 6-4,6-7 na 6-3.
BOFYA HAPA KWA HABARI ZAIDI ZA TENISIhttp://www.dailymail.co.uk/sport/tennis/article-4366196/Roger-Federer-beats-Tomas-Berdych-Miami-Open.html?ITO=1490&ns_mchannel=rss&ns_campaign=1490
0 comments:
Post a Comment