Uturuki.
Mesut Ozil huenda akatua Fenerbahce kama ataondoka Arsenal mwishoni mwa msimu huu, kwa mujibu wa taarifa kutoka The Telegraph.
Ozil kama Alexis Sanchez bado hajasaini mkataba mpya wa kubaki Gunners na bado ana mahusiano ya kifamilia nchini Uturuki.
Taarifa zinasema kwamba Arsenal watakuwa tayari kusikiliza ofa ya pauni milioni 30 kwa kiungo huyo mchezeshaji. kama ataondoka Arsenal mwishoni mwa msimu huu, kwa mujibu wa taarifa kutoka The Telegraph.
Ozil kama Alexis Sanchez bado hajasaini mkataba mpya wa kubaki Gunners na bado ana mahusiano ya kifamilia nchini Uturuki.
Taarifa zinasema kwamba Arsenal watakuwa tayari kusikiliza ofa ya pauni milioni 30 kwa kiungo huyo mchezeshaji.
0 comments:
Post a Comment