728x90 AdSpace

Wednesday, March 29, 2017

Depay aonyesha tattoo mpya,Uholanzi ikilala kwa Italia


Amsterdam,Uholanzi.

WINGA wa zamani wa Manchester United,Memphis Depay akionyesha tattoo yake mpya ya Simba katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki ambapo timu yake ya taifa ya Uholanzi ilifungwa mabao 2-1 na Italia kwa mabao ya Eder na Leonardo Bonucci.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Depay aonyesha tattoo mpya,Uholanzi ikilala kwa Italia Rating: 5 Reviewed By: Unknown