Faridi Miraji.
Timu ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka kumi na saba (U17) Serengeti Boys imefika Salama Bukoba -Kagera Kwa mechi za kirafiki dhidi ya Burundi (U17) . Serengeti Boys wamekwea Pipa leo asubuhi kuwafuata Burundi Kwa mechi mbili za kirafiki zitakazochezwa Marchi 30 na watarudiana tena April 1 kwenye uwanja wa Kaitaba -Bukoba.
Serengeti Boy's inacheza mechi za kirafiki Kwa Ajili ya kujiandaa na michuano ya Africa chini ya miaka kumi na saba (AFCON U17) itakayofanyika Gabon kuanzia Mei mwaka huu. Baada ya mechi dhidi ya Burundi watarudi Dar kucheza na Ghana April 3, ndio wanaenda Morroco kuweka kambi ya mwezi mmoja.
0 comments:
Post a Comment