London,England.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mchambuzi wa soka wa Hispania kutoka kituo cha Sky Sports, Guillem Balague kwamba kiungo wa Monaco Tiemoue Bakayoko amekubaliana maslahi binafsi na klabu ya Chelsea kilichobaki ni kwa Chelsea kulipa ada kubwa kwa Monaco kuliko klabu nyingine yoyote.
Na Taarifa zilizotoka leo asubuhi kupitia gazeti la Daily Mirror zinasema kwamba Chelsea wanataka kutoa kitita cha pauni milioni 32 kwa ajili ya kiungo huyo Mfaransa, ambaye amekuwa kwenye kiwango bora sana msimu huu.
0 comments:
Post a Comment