Bandung,Indonesia.
NYOTA wa zamani wa
Chelsea,Carlton Cole amejiunga na klabu ya Persib Bandung ya Indonesia ambayo
hivi karibuni ilimsajili kiungo wa zamani wa kimataifa wa Ghana,Michael Essien
ambaye pia aliwahi kupitia Chelsea.
Cole,33,amesaini mkataba
wa mwaka mmoja wa kuichezea Persib Bandung akiwa mchezaji huru baada ya mwaka
jana kuichezea Sacramento Republic ya Marekani.
0 comments:
Post a Comment