Lameck Francis,Zanzibar.
Kamati ya Ufundi ya ZFA Jana imemtangaza golikipa wa Taifa Jang'ombe, Ahmed Suleiman maarufu kama Selula kama mchezaji bora wa ligi kuu ya Zanzibar Kwa mwezi wa tatu.
Tuzo ya kocha bora wa mwezi imeenda Kwa Mohammed Seif 'King' wa timu ya JKU , tuzo nyingine ya Mwamuzi bora wa mwezi wa tatu wa ligi kuu ya Zanzibar imetwaliwa na Haule Mbaraka Haule ambaye pia mwezi uliopita alichukua tuzo hiyo.
0 comments:
Post a Comment