728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, December 03, 2015

    HIVI NDIVYO VILABU VILIVYOTUMIA NYOTA WENGI ZAIDI WA KIGENI TANGU KUANZISHWA KWA LIGI YA EPL

    London,England.

    Ligi kuu ya England "English Premier League" ilianza kutimua vumbi lake kwa mara ya kwanza mwaka 1992.

    Tangu wakati huo wachezaji toka mataifa mbalimbali duniani wamekuwa wakiingia na kutoka katika ligi hii ambayo kiuchumi iko vizuri sana kuliko ligi zote duniani.

    Ifuatayo ni orodha ya vilabu 20 vinavyoongoza kwa kutumia nyota wengi wa kigeni/wasio Waingereza katika historia ya ligi hii.

    20.Bournemouth 6
    19 Norwich City 29
    18.Swansea City 31
    17.Leceister City 34
    16. Stoke City - 38 
    15. Watford - 41 
    14.Crystal Palace 43
    13. West Brom - 63 
    12.Southampton 68
    11.Aston Villa 78
    10.Everton 77
    9.Manchester United 81
    8.Sunderland 89
    7.Newcastle United 98
    6.Tottenham 100
    5.Liverpool 110
    4.Arsenal 110
    3.Manchester City 114
    2.Westham United 117
    1.Chelsea 131


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: HIVI NDIVYO VILABU VILIVYOTUMIA NYOTA WENGI ZAIDI WA KIGENI TANGU KUANZISHWA KWA LIGI YA EPL Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top